About Us

makazi.ne.tz ni mtandao mahususi na wenye nidhamu ktk kusaidia watu wa aina mbalimbali kuweza kufanikisha ujenzi wa makazi yaliyo ya gharama nafuu. Tunakuunganisha na teknolojia na wataalamu mbalimbali wenye ujuzi wa kukusaidia katika ujenzi wako popote ulipo.

Kupitia mtandao huu utaweza pata msaada moja kwa moja ktk ujenzi wako site, ushauri ujenzi, kupata wataalamu wa ujenzi, kupata ofa mbalimbali kutoka ktk wadau mbalimbali.

Popote ulipo Afrika, Afrika Mashariki, Mikoani au nje ya nchi utaweza nufaika na huduma zetu kwa haraka kupitia mtandao.

Makazi Team,
admin@makazi.ne.tz,
+255-657-685-268,
Mbuyuni, Tegeta,
Dar es Salaam, Tz.

 

Register New Account
Reset Password
Compare items
  • Total (0)
Compare
0

Send this to a friend