Njia 3 mahususi za kupata mtaji wa kujengea nyumba yako

Kuna njia nyingi za kupata mitaji ya ujenzi, hapa chini tumezichambua katika makundi makuu 3 ambayo yanaweza kukusaidia kujenga mtazamo wa namna ya kuweza kukamilisha mtaji wa kujengea nyumba yako. Mwisho wa siku utaweza jua ni ipi ambayo inakufaa zaidi kwako binafsi.

 • Tumia Pesa yako binafsi uliyo nayo
  • Kujenga yote kwa pamoja
  • Kujenga kidogo kidogo
  • Hifadhi pesa yako kidogo kidogo
 • Kuweka pesa kidogo kidogo kwenye akaunti yako mpaka itoshe kujenga
  • kuweka pesa kidogokidogo hardware/mkandarasi mpaka itoshe
 • kukopa pesa
  • Kukopa pesa kwa mtu binafsi
  • Kukopa pesa kutoka katika mafao yako ya ustaafu
  • kukopa pesa SACCOS na VICOBA
  • Kukopa pesa benki kama mkopa wa kawaida
   • Kukopa pesa benki kama Mortgage loan
   • Kukopa pesa benki kupitia mshahara wako
   • Kukopa pesa benki kupitia biashara yako
   • Kukopa pesa benki kupitia majengo, ardhi na mali unazomiliki
   • Kukopa pesa benki kupitia jengo lako ambalo tayari unaendelea kulijenga

 

Register New Account
Reset Password
Compare items
 • Total (0)
Compare
0