Ramani ID-11210, vyumba 3, tofali 1096 + 418 na bati 50

Ajouter à mes favorisAjouter aux favorisProduit retiré de la liste des souhaits 80
Ajouter au comparateur

Eneo nyumba itakapojengwa

Upana Usipungue
0-m
Champ requis!
Urefu Usipungue
0-m
Champ requis!

Kiwanja Chako Kisipungue

Ukubwa Usipungue
0-SQM
Champ requis!
au, Ukubwa Kujinafasi
0-SQM
Champ requis!

Fanikisha ujenzi wa nyumba yenye unafuu sana kuliko zote isiyo na vifaa vingi

$129.30

  • 15 $
  • 10 $
  • 5 $
  • 10 $
  • 15 $
  • 15 $
  • 10 $
  • 7.5 $
  • 12.5 $
  • 30 $
  • 40 $
  • 60 $
  • 150 $
  • 250 $
  • 1000 $
  • 22 $
  • 44 $
  • 155 $
  • 155 $
  • 440 $
  • 0 $
  • 11 $
  • 55 $
  • 100 $
  • 250 $
  • 300 $
  • 400 $

  Tazama Mifano ya Mapendekezo

  Nahitaji Kujengewa nyumba hii

  Angalia Fomu ya Njano Chini!

  • (taille maximale du fichier 5 MB)
  • (taille maximale du fichier 5 MB)
  • (taille maximale du fichier 5 MB)

Gharama Ufundi za Nyumba Hii Tukujengee

TUNAKUJENGEA NYUMBA IMARA

MSINGI, KUTA & PAA (Boma la Nyumba) Tutakujengea SISI ili Kuhakikisha Uimara wa Nyumba Yako. Mafundi Wetu Wanakuja Popote Afrika Mashariki pâle. Finition Utajenga kwa Kutumia Mafundi Wako.
Chagua Hatua Unazotaka Kujenga Sasa
Champ requis!
Kushughulikia Ramani na Vibali Ujenzi:
Chagua kurasa za ramani na aina ya vibali vya kukusaidia
Champ requis!
Unataka Uipate Ramani kwa Njia Gani?
Champ requis!
Ujenzi wa Msingi
Champ requis!
Ujenzi wa Kuta
Champ requis!
Ujenzi wa Paa
Champ requis!
Ujenzi wa Mashimo ya Maji Machafu
Champ requis!
Kufunga Madirisha ya Aluminium
Champ requis!
Kufunga Milango ya Mbao
Champ requis!
Kupiga Sakafu na Marumaru
Champ requis!
Kupiga Dari Gypsum
Champ requis!
Kufunga Vifaa vya Maji
Champ requis!
Kufunga Umeme Nyumba
Champ requis!
Kupiga Rangi Kuta na Dari
Champ requis!
Ada ya Ufundi kwa Steji Ulizochagua
Sh.0
Champ requis!
Aina gani ya fundi unahitaji?
Champ requis!

Ada ya Ramani na Vibali
Sh.0
Champ requis!
Ratio du travail par étapes
0.00
Champ requis!
Mfumo wa Usimamizi wa Ujenzi Wako
Champ requis!
Umeshawahi Kujenga Nyumba Yako Awali?
Champ requis!
Ratio du travail par étapes
0.00
Champ requis!
Unahitaji Kufanya Hatua Gani Sasa?
Kwa Quotation ya Vifaa vya steji ulizochagua, utatumiwa ndani ya lisaa 1 ktk email yako baada ya kupunguza 5% ya ada ya ufundi
Champ requis!
Bei Kulingana na Chaguo
Sh.0
Champ requis!
Site Yako Ipo Eneo Gani?
Champ requis!
Nauli ya Kusafiria Mjenzi
Nauli ya Mjenzi Kusafiri Kuja na Kurudi Baada ya Kazi Hiyo Kuisha
Sh. 0
Champ requis!
Barua Pepe ya Kutuma Citation ya Vifaa
 • Aucun résultat...
Champ requis!
Namba ya WhatsApp ya Kutuma Quotation ya Vifaa
 • Aucun résultat...
Champ requis!
Jina la Mmiliki wa Nyumba la Kuandika ktk Ramani
 • Aucun résultat...
Champ requis!
Jina la Mtaa Nyumba Itakapojengwa:
 • Aucun résultat...
Champ requis!
Jina la Kata Nyumba Itakapojengwa
 • Aucun résultat...
Champ requis!
Jina la Wilaya Nyumba Itakapojengwa
 • Aucun résultat...
Champ requis!
Jina la Nchi Nyumba Itakapojengwa
 • Aucun résultat...
Champ requis!
Terrain Namba Nyumba Itakapojengwa
 • Aucun résultat...
Champ requis!
Block Namba Nyumba Itakapojengwa
 • Aucun résultat...
Champ requis!
Jumla ya Kufanya Malipo Sasa
Sh.0
Champ requis!

Taratibu za Huduma za Ufundi Wetu

 • Punguza 5% ya gharama ya ufundi kisha utapewa CITATION YA VIFAA vinavyohitajika kwa steji hiyo uliyochagua; Utatumiwa ndani ya lisaa limoja ktk email na pia tutakupigia simu
 • Ukishapewa citation ya vifaa, basi utatujuza siku gani fundi wetu aje kwako kukujengea kwa steji hiyo (Atakuja siku 3 tangu umuite kama upo mkoani)
 • Ili Fundi aje unapaswa uweze kumalizia 95% ya ada ya ufundi iliyobaki hapa hapa mtandaoni
 • Kwa Boss uliye mkoani utawajibika kwa swala la nauli ya fundi kuja na kurudi. Nauli zimeorodheshwa hapo juu
 • Site de Kazi inapoendelea, tunaendelea kuwasiliana na fundi huko aliko kuhakikisha ubora wa kazi yako
 • Sisi tunamlipa fundi kila anapomaliza steji fulani ya kazi na baada ya wewe kuafiki na umeridhika
 • Fundi anapokuja site ya mkoani basi utalazimika kumuandalia chumba cha kulala na tandiko la kawaida tu ila lenye utu
 • Site Fundi anapokuja kwako, gharama za chakula ni juu yake fundi, wewe huhusiki kumuhudumia chakula
 • Site Fundi hausiki na kununua na kutunza vifaa, kazi yake ni kujenga tuu kulingana na mchoro wa jengo husika
 • Wewe hahushusiki kukodi mashine za kazi kama mashine ya zege au shindilia
 • Boss unahusika kukodi / kununua coffrage na majukwa (échafaudage) ya kujengea
 • Ni haki na wajibu wa fundi kuweza kufanya kazi kwa weledi na kutunza nidhamu na heshima ya site kwako na anapolala
 • Kwa jambo au ishu yoyote ile kabla au pindi unapokuwa site tuwasiliane hapa mtandaoni

Makisio ya Gharama Ujenzi wa Nyumba Hii

Maalumu kwa Wanachama Tuu!

    

 

Ufafanuzi wa Kitaalamu wa Nyumba Hii

Ukubwa wa Nyumba (SQM)67SQM
Idadi ya Vyumba vya Kulala Vyote3
Idadi ya Vyumba + Choo1
Idadi ya Vyumba + Choo1
Idadi ya Vyumba Kawaida2
Idadi ya Dining1
Idadi ya Sebule1
Idadi ya Jiko1
Idadi ya Stoo1
Idadi ya Vyoo Public1
Idadi ya Bafu Public1
Idadi ya Veranda / Bakoni2
Idadi ya Tofali za Block (6 ') kwa Kuta1096
Idadi ya Tofali za Block (6 ') kwa Msingi418
Idadi ya Bati za Kawaida (mita 3 urefu)50
Mpangilio wa Nyumba
 • Salon-salle à manger-cuisine
 • Mini magasin
 • Mini cuisine
Matériel ya Paa
 • Feuilles de fer ondulé
 • Auge industrielle
 • Carreaux métalliques
Staili ya Paa
 • Toit en pente
Aina ya Kuta
 • Briques brûlées
 • Briques imbriquées
 • Blocs de sable de ciment
Mpangilio wa Nyumba
 • Salon-salle à manger-cuisine
 • Mini magasin
 • Mini cuisine
Kiwango cha Ustadi cha MjenziN'importe qui
Hali ya Hewa Inayofaa
 • Ensoleillé
 • Venteux
 • Précipitations
 • Poussiéreux
 • Brumeux
 • Nuageux
Staili ya NyumbaClassique
Kiwango cha Gharama UjenziAbordable

Fahamu Kurasa za Ramani na Kazi Yake

Ramani ni muunganiko wa michoro na vipimo vilivyoandaliwa na kuwekwa kitaalamu ili kuwasaidia wajenzi kujenga nyumba vile inavyotakiwa kulingana na msanifu alivyoandaa bila kukosea chochote. Pia ramani hutumika kufanya makadirio ujenzi, ni muongozo wa maongezi na majadiliano ktk ujenzi wako, huitajika serikalini kwajili ya taratibu nyingine na pia kupata kibali cha ujenzi, huhitajika pale unapoomba mkopo wa ujasai ...
 • Plan du site - (ramani ya mpangilio wa kiwanja) hutumika ktk kuiweka nyumba sehemu sahihi ya kiwanja pale wanapoanza kujenga msingi. Pia huonesha vitu kama mashimo ya choo, geti, uelekeo wa nyumba, fensi .. zinapokaa
 • Plans d'étage - (ramani kuu ya nyumba) hizi ndizo hutumika kukata na kuonesha namna kuta, nguzo, madirisha, milango nk vinavyokaa ktk nyumba

Faida za Kujenga kwa Ramani Zetu

 • Ni mawazo ya wataalamu ujenzi ktk kujenga nyumba yako
 • Unajenga nyumba zinazoafiki mazingira na tamaduni zetu
 • Inatoa mwongozo wa kitaalamu wa kubadili idée kuwa uhalisia
 • Ni uhakikisho wa kuufuata ili kufanya shughuli ya ujenzi
 • Mwongozo wa marekebisho ktk ujenzi na ukarabati wako
 • Inatakiwa unapoomba kibali cha ujenzi serikalini
 • Inasaidia kuondoa mabishano na marumbano mnapojenga
 • Ni mwongozo wenu mkuu ktk majadiliano ya ujenzi
 • Ni mwongozo mkuu wa kufanya makadirio ya ujenzi
 • Ni mwongozo mkuu wa kupanga ratiba ya ujenzi
 • Inasaidia kuanza kununua baadhi ya vifaa mapema
 • Ni mwongozo wenu ktk majadiliano ya kazi na fundi

Lipa Kidogo Kidogo Kuanzia Sh. 5.000

  Poser une question
 • Jumla vyumba 3
 • Chumba masta 1 (na choo chake)
 • Vyumba 2 vya kawaida
 • Choo cha public ndani
 • Sebure, Dining na Jiko
 • Kiwanja angalau 250 SQM (Miguu 20)
 • Ukubwa wa nyumba 70 SQM
 • Kiwanja upana angalau 12m
 • Kiwanja urefu angalau 13m
 • Ukubwa wa vyumba ni wa kawaida
 • Mpangilio wa vyumba ni special kuokoa nafasi
 • Vyumba ni vikubwa kuweka vitanda vya 6 x 6 na kabati
 • Nafasi ya sebureni na jikoni ni ya kutosha vyema uwekaji vitu vyako ktk mpangilio mzuri kama ramani inavyoonesha
 • Sebure, dining na jiko vimepangiliwa kuokoa nafasi
 • Staili na uhuru wa nyumba ni special kwa unafuu
 • Mwanga, hewa na kimo cha nyumba ni cha kutosha vyema kwa afya yako
 • Makadirio ya ujenzi wote ni Tshs. ~28 M
 • Idadi tofali 6″ kuta na msingi ni 1514
 • Idadi ya bati za kawaida ni 50
 • Bati ni za rangi
 • Ndani Kuta inapigwa plasta kote
 • Nje kuta inapigwa plasta upande na kuchora tofali
 • Dirisha za mbao (gums) na nondo
 • Milango ya mbao (gums)
 • Sakafu inapigwa tiles kote
 • Dari ni ya gypsum
 • Vifaa vya choo na bafu ni vya kiwango cha kawaida
 • Vifaa vya umeme ni vya kiwango cha kawaida
 • Veranda ni ya mbao kuokoa gharama

Critiques d'utilisateurs

0.0 hors de 5
0
0
0
0
0
Écrire une critique

Il n'y a pas encore d'avis.

Soyez le premier à laisser votre avis sur “ Ramani ID-11210, vyumba 3, tofali 1096+418 na bati 50”

Votre adresse de messagerie ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *

Politique de livraison

livraison

Makazi utilise différentes sociétés de messagerie pour expédier des produits physiques, selon la destination prévue. Les destinations de Dar es Salaam sont généralement atteintes en 24 heures; Les régions de la Tanzanie peuvent avoir besoin de 3 à 7 jours, tandis que les destinations internationales peuvent devoir attendre généralement jusqu'à 2 semaines.

Les produits numériques comme (PDF et DWG) vous sont généralement envoyés par e-mail dans les 24 heures après réception de votre paiement et le travail est prêt.

Politique de remboursement

Remboursements

Les remboursements peuvent prendre quelques jours à traiter. Dans la plupart des cas, nous remboursons l'argent à votre Portefeuille Makazi pour les produits virtuels comme l'adhésion, la visite du site, les services de construction, les plans de maison, les conseils, les services de suivi, les produits numériques. L'adhésion, la visite du site, les conseils, les services de suivi sont strictement remboursés à votre Portefeuille Makazi afin que vous puissiez utiliser pour payer d'autres choses dans la plate-forme; D'autres types de remboursements peuvent être effectués selon le mode de paiement que vous avez utilisé pour payer à votre guise. Le remboursement de Makazi Wallet prend souvent environ 24 heures, même si d'autres types de modes de paiement peuvent prendre quelques jours; Si vous n'avez pas reçu de remboursement après une semaine, vérifiez d'abord à nouveau votre compte bancaire. Contactez ensuite votre société de carte de crédit, cela peut prendre un certain temps avant que votre remboursement ne soit officiellement affiché. Contactez ensuite votre banque. Si vous avez fait tout cela et que vous n'avez pas encore reçu votre remboursement, veuillez Nous contacter.

Retour / Annulation / Echange

Retour

Nous offrons rarement des remboursements dans de nombreux cas. Il est important de noter qu'aucune commande ne sera remboursée après le début des travaux ou la livraison de produits d'adhésion virtuels, numériques ou physiques, visite du site, services de construction, plans de maison, conseils, services de suivi, fichiers numériques, sauf si le des fichiers ou des services incorrects ont été fournis (c'est-à-dire des plans avec un code de plan différent de celui qui avait été commandé).

Il est donc très important de prendre la bonne décision concernant la taille, les dimensions hors tout, le sens de l'entrée, l'orientation, les réglementations locales, les préférences, les abonnements, la fabrication, etc. avant de passer votre commande.

Les produits ou services avec des remboursements ou des retours ou des politiques d'échange exceptionnels sont directement indiqués dans la page principale du produit spécifique.


Échanges

Nous n'échangeons pas de produits ou de services une fois que le travail sur ceux-ci a commencé à être mis en œuvre de manière intensive. N'hésitez pas à nous contacter pour des cas exceptionnels tels que l'adhésion, les services, la consultation hors plans de maison.


Questions et demandes générales

Il n'y a pas encore de demandes de renseignements.

Erreur: Alerte: Le contenu est protégé !!
fr_FRFR
en_GBEN swSW fr_FRFR
Créer un nouveau compte
Réinitialiser le mot de passe
Comparer articles
 • Total (0)
Comparer
0

Envoyez ceci à un ami