Ramani ID-11210, vyumba 3, tofali 1096+418 na bati 50

My Dream HouseI'm Dreaming ThisRemoved from wishlist 29
Compare Houses

Eneo nyumba itakapojengwa

Upana Usipungue
0-m
Urefu Usipungue
0-m

Kiwanja Chako Kisipungue

Ukubwa Usipungue
0-SQM
au, Ukubwa Kujinafasi
0-SQM

Fanikisha ujenzi wa nyumba yenye unafuu sana kuliko zote isiyo na vifaa vingi

Sh300,000

  • 15 Sh
  • 10 Sh
  • 5 Sh
  • 10 Sh
  • 15 Sh
  • 15 Sh
  • 10 Sh
  • 7.5 Sh
  • 12.5 Sh
  • 40 Sh
  • 60 Sh
  • 150 Sh
  • 250 Sh
  • 50000 Sh
  • 100000 Sh
  • 350000 Sh
  • 350000 Sh
  • 1000000 Sh
  • 0 Sh
  • 25000 Sh
  • 125000 Sh
  • (max file size 24 MB)
  • (max file size 24 MB)
  • (max file size 24 MB)

Gharama Ufundi za Nyumba Hii Tukujengee

TUNAKUJENGEA NYUMBA IMARA

MSINGI, KUTA & PAA (Boma la Nyumba) Tutakujengea SISI ili Kuhakikisha Uimara wa Nyumba Yako. Mafundi Wetu Wanakuja Popote Pale Afrika Mashariki. Finishing Utajenga kwa Kutumia Mafundi Wako.
Chagua Hatua Unazotaka Kujenga Sasa
Kushughulikia Ramani na Vibali Ujenzi:
Chagua kurasa za ramani na aina ya vibali vya kukusaidia
Unataka Uipate Ramani kwa Njia Gani?
Ujenzi wa Msingi
Ujenzi wa Kuta
Ujenzi wa Paa
Ujenzi wa Mashimo ya Maji Machafu
Kufunga Madirisha ya Aluminium
Kufunga Milango ya Mbao
Kupiga Sakafu na Marumaru
Kupiga Dari Gypsum
Kufunga Vifaa vya Maji
Kufunga Umeme Nyumba
Kupiga Rangi Kuta na Dari
Ada ya Ufundi kwa Steji Ulizochagua
Sh.0
Aina gani ya fundi unahitaji?

Ada ya Ramani na Vibali
Sh.0
Stages Labour Ratio
0.00
Mfumo wa Usimamizi wa Ujenzi Wako
Umeshawahi Kujenga Nyumba Yako Awali?
Stages Labour Ratio
0.00
Unahitaji Kufanya Hatua Gani Sasa?
Kwa Quotation ya Vifaa vya steji ulizochagua, utatumiwa ndani ya lisaa 1 ktk email yako baada ya kupunguza 5% ya ada ya ufundi
Bei Kulingana na Chaguo
Sh.0
Site Yako Ipo Eneo Gani?
Nauli ya Kusafiria Mjenzi
Nauli ya Mjenzi Kusafiri Kuja na Kurudi Baada ya Kazi Hiyo Kuisha
Sh. 0
Barua Pepe ya Kutuma Quotation ya Vifaa
Namba ya WhatsApp ya Kutuma Quotation ya Vifaa
Jina la Mmiliki wa Nyumba la Kuandika ktk Ramani
Jina la Mtaa Nyumba Itakapojengwa:
Jina la Kata Nyumba Itakapojengwa
Jina la Wilaya Nyumba Itakapojengwa
Jina la Nchi Nyumba Itakapojengwa
Plot Namba Nyumba Itakapojengwa
Block Namba Nyumba Itakapojengwa
Jumla ya Kufanya Malipo Sasa
Sh.0

Taratibu za Huduma za Ufundi Wetu

 • Punguza 5% ya gharama ya ufundi kisha utapewa QUOTATION YA VIFAA vinavyohitajika kwa steji hiyo uliyochagua; Utatumiwa ndani ya lisaa limoja ktk email na pia tutakupigia simu
 • Ukishapewa quotation ya vifaa, basi utatujuza siku gani fundi wetu aje kwako kukujengea kwa steji hiyo (Atakuja siku 3 tangu umuite kama upo mkoani)
 • Ili Fundi aje unapaswa uweze kumalizia 95% ya ada ya ufundi iliyobaki hapa hapa mtandaoni
 • Kwa Boss uliye mkoani utawajibika kwa swala la nauli ya fundi kuja na kurudi. Nauli zimeorodheshwa hapo juu
 • Kazi inapoendelea site, tunaendelea kuwasiliana na fundi huko aliko kuhakikisha ubora wa kazi yako
 • Sisi tunamlipa fundi kila anapomaliza steji fulani ya kazi na baada ya wewe kuafiki na umeridhika
 • Fundi anapokuja site ya mkoani basi utalazimika kumuandalia chumba cha kulala na tandiko la kawaida tu ila lenye utu
 • Fundi anapokuja site kwako, gharama za chakula ni juu yake fundi, wewe huhusiki kumuhudumia chakula
 • Fundi hausiki na kununua na kutunza vifaa site, kazi yake ni kujenga tuu kulingana na mchoro wa jengo husika
 • Wewe hauhusiki kukodi mashine za kazi kama mashine ya zege au shindilia
 • Boss unahusika kukodi/ kununua formwork na majukwa (scaffolding) ya kujengea
 • Ni haki na wajibu wa fundi kuweza kufanya kazi kwa weledi na kutunza nidhamu na heshima ya site kwako na anapolala
 • Kwa jambo au ishu yoyote ile kabla au pindi unapokuwa site tuwasiliane hapa mtandaoni

Makisio ya Gharama Ujenzi wa Nyumba Hii

Ufafanuzi wa Kitaalamu wa Nyumba Hii

Ukubwa wa Nyumba (SQM)67SQM
Idadi ya Vyumba vya Kulala Vyote3
Idadi ya Vyumba + Choo1
Idadi ya Vyumba Kawaida2
Idadi ya Dining1
Idadi ya Sebule1
Idadi ya Jiko1
Idadi ya Stoo1
Idadi ya Vyoo Public1
Idadi ya Bafu Public1
Idadi ya Veranda / Bakoni2
Idadi ya Tofali za Block (6') kwa Kuta1096
Idadi ya Tofali za Block (6') kwa Msingi418
Idadi ya Bati za Kawaida (mita 3 urefu)50
Mpangilio wa Nyumba
 • Lounge-Dining-Kitchen
 • Mini Store
 • Mini Kitchen
Material ya Paa
 • Corrugated Iron Sheets
 • Industrial Trough
 • Metal Tiles
Staili ya Paa
 • Pitch Roof
Aina ya Kuta
 • Burnt Bricks
 • Interlocking Bricks
 • Cement Sand Blocks
Hali ya Hewa Inayofaa
 • Sunny
 • Windy
 • Rainfall
 • Dusty
 • Foggy
 • Cloudy
Staili ya NyumbaClassical
Kiwango cha Gharama UjenziAffordable

Fahamu Kurasa za Ramani na Kazi Yake

Ramani ni muunganiko wa michoro na vipimo vilivyoandaliwa na kuwekwa kitaalamu ili kuwasaidia wajenzi kujenga nyumba vile inavyotakiwa kulingana na msanifu alivyoandaa bila kukosea chochote. Pia ramani hutumika kufanya makadirio ujenzi, ni muongozo wa maongezi na majadiliano ktk ujenzi wako, huitajika serikalini kwajili ya taratibu nyingine na pia kupata kibali cha ujenzi, huhitajika pale unapoomba mkopo wa ujenzi benki... Kurasa za ramani na kazi yake
 • Site plan -  (ramani ya mpangilio wa kiwanja) hutumika ktk kuiweka nyumba sehemu sahihi ya kiwanja pale wanapoanza kujenga msingi. Pia huonesha vitu kama mashimo ya choo, geti, uelekeo wa nyumba, fensi.. zinapokaa
 • Floor plans - (ramani kuu ya nyumba) hizi ndizo hutumika kukata na kuonesha namna kuta, nguzo, madirisha, milango n.k vinavyokaa ktk nyumba

Faida za Kujenga kwa Ramani Zetu

 • Ni mawazo ya wataalamu ujenzi ktk kujenga nyumba yako
 • Unajenga nyumba zinazoafiki mazingira na tamaduni zetu
 • Inatoa mwongozo wa kitaalamu wa kubadili idea kuwa uhalisia
 • Ni uhakikisho wa kuufuata ili kufanya shughuli ya ujenzi
 • Mwongozo wa marekebisho ktk ujenzi na ukarabati wako
 • Inatakiwa unapoomba kibali cha ujenzi serikalini
 • Inasaidia kuondoa mabishano na marumbano mnapojenga
 • Ni mwongozo wenu mkuu ktk majadiliano ya ujenzi
 • Ni mwongozo mkuu wa kufanya makadirio ya ujenzi
 • Ni mwongozo mkuu wa kupanga ratiba ya ujenzi
 • Inasaidia kuanza kununua baadhi ya vifaa mapema
 • Ni mwongozo wenu ktk majadiliano ya kazi na fundi

Lipa Kidogo Kidogo Kuanzia Sh. 5,000

 • Jumla vyumba 3
 • Chumba masta 1 (na choo chake)
 • Vyumba 2 vya kawaida
 • Choo cha public ndani
 • Sebure, Dining na Jiko
 • Kiwanja angalau 250 SQM (Miguu 20)
 • Ukubwa wa nyumba 70 SQM
 • Kiwanja upana angalau 12m
 • Kiwanja urefu angalau 13m
 • Ukubwa wa vyumba ni wa kawaida
 • Mpangilio wa vyumba ni special kuokoa nafasi
 • Vyumba ni vikubwa kuweka vitanda vya 6 x 6 na kabati
 • Nafasi ya sebureni na jikoni ni ya kutosha vyema uwekaji vitu vyako ktk mpangilio mzuri kama ramani inavyoonesha
 • Sebure, dining na jiko vimepangiliwa kuokoa nafasi
 • Staili na uhuru wa nyumba ni special kwa unafuu
 • Mwanga, hewa na kimo cha nyumba ni cha kutosha vyema kwa afya yako
 • Makadirio ya ujenzi wote ni Tshs. ~28 M
 • Idadi tofali 6″ kuta na msingi ni 1514
 • Idadi ya bati za kawaida ni 50
 • Bati ni za rangi
 • Ndani Kuta inapigwa plasta kote
 • Nje kuta inapigwa plasta upande na kuchora tofali
 • Dirisha za mbao (gums) na nondo
 • Milango ya mbao (gums)
 • Sakafu inapigwa tiles kote
 • Dari ni ya gypsum
 • Vifaa vya choo na bafu ni vya kiwango cha kawaida
 • Vifaa vya umeme ni vya kiwango cha kawaida
 • Veranda ni ya mbao kuokoa gharama

User Reviews

0.0 out of 5
0
0
0
0
0
Write a review

There are no questions yet.

Ask us a question about “ Ramani ID-11210, vyumba 3, tofali 1096+418 na bati 50”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Designer Information

 • Studio Name: Nyumba Bora
 • Designer: Lwifunyo Mangula
 • Address: Salasala
  Kinzudi
  Dar es Salaam
  Dar es Salaam
  255
 • 3.81 3.81 rating from 16 reviews
 Ramani ID-7932, vyumba 3, tofali 2026+1092 na bati 91
I'm Dreaming ThisRemoved from wishlist 25
Compare Houses
Sh325,000
 Ramani ID-14732, vyumba 4, tofali 7304+1228 na bati 165
I'm Dreaming ThisRemoved from wishlist 5
Compare Houses
Sh2,000,000
 Ramani ID-11258, vyumba 2, tofali 780+414 na bati 45
I'm Dreaming ThisRemoved from wishlist 12
Compare Houses
Sh250,000
 Ramani ID-13047, vyumba 4, tofali 2112+921 na bati 94
I'm Dreaming ThisRemoved from wishlist 8
Compare Houses
Sh400,000
error: Alert: Content is protected !!
Register New Account
Reset Password
Compare Houses
 • Total (0)
Compare
0

Send this to a friend