Fahamu makisio ya gharama na vifaa vya ujenzi wa nyumba yako

Kikokotozi hiki kinakusaidia kuchambua mahitaji yako ya kiwanja, nyumba gani ujenge, kujua gharama ya kujenga nyumba, gharama ya kila steji ya ujenzi wako (msingi, kuta, paa, maji, umeme…), kujua kiasi gani cha tofali na bati  zitahitajika kujengea nyumba yako, kujua kiasi cha mkopo unaoweza kupata benki na kila mwezi utakuwa unarudisha kiasi gani benki.

Hiki kikokotozi ni kizuri sana ijapokuwa ni kizito maana kina mahesabu marefu ya kihandisi kwa hiyo ni vyema ukitumie ukiwa na kompyuta. Ni kizuri sana na kinahitaji utulivu.

Maalumu kwa Wanachama Tuu!

Jiunge Uanachama Upate Kuona Ramani Mchoro, Gharama Ujenzi kwa Kila Steji, Takwimu, Makadirio, Vikokotozi na Ujenge kwa Uhakika!

error: Alert: Content is protected !!
Register New Account
Reset Password
Compare Houses
  • Total (0)
Compare
0

Send this to a friend