Nyumba Bora

Salasala, Kinzudi, Dar es Salaam, Dar es Salaam Tanzania - 255

reviews
FARAJI MTONYA and 35 others have reviewed this store
3.0 Suitability
3.0 Affordability
3.0 Aesthetics
3.0/5
Review
rated
5.0
Ahmed
79 reviews 24/10/2019 21:54

Nyumba ni kali sana nmeipenda

 Nyumba contemporary kwa wanaofikiri kitofauti

5.0 Suitability
5.0 Affordability
5.0 Aesthetics
Review
rated
0.0
Makazi Team
33 reviews 16/09/2019 16:03

Safi sana. Hii nyumba ni special kwa yule anayependa kujenga nyumba yenye unafuu wa gharama.

 Vyumba 3 Nafuuu

0.0 Suitability
0.0 Affordability
0.0 Aesthetics
Review
rated
5.0
Augustino Mtaki
79 reviews 16/09/2019 14:51

Nimefurahi kuona hii ramani ambayo ni chaguo langu.

 Vyumba 3 Nafuuu

5.0 Suitability
5.0 Affordability
5.0 Aesthetics
Review
rated
0.0
Makazi Team
33 reviews 15/08/2019 21:29

Angalia hizi hapa kwa kubofya link hii==> https://makazi.ne.tz/designs/shop/?fwp_number_of_all_bedrooms=3

 Nyumba 2BHK ya kupangisha ya inayovutia na kutumia vifaa vichache

0.0 Suitability
0.0 Affordability
0.0 Aesthetics
Review
rated
2.0
Maryam
79 reviews 08/08/2019 20:15
2.0 Suitability
2.0 Affordability
2.0 Aesthetics
Review
rated
5.0
Temu
79 reviews 20/07/2019 19:07

OK, Thenx for ur advice. NOTED.

 Nafuu 3 bedrooms ya ukweli

5.0 Suitability
5.0 Affordability
5.0 Aesthetics
Review
rated
0.0
Makazi Team
33 reviews 20/07/2019 17:47

Habari. Tumia kikokotozi hiki kubadili idadi ya block iwe ya kuchoma. https://makazi.ne.tz/designs/kubadili-idadi-ya-tofali-za-block-kuwa-kuchoma-na-interlocking/ Fungua hapo kisha jiunge uanachama ili uweze tumia kikokotozi. Note: msingi kujenga mara nyingi tunatumia blocks au mawe

 Nafuu 3 bedrooms ya ukweli

0.0 Suitability
0.0 Affordability
0.0 Aesthetics
Review
rated
1.0
Temu
79 reviews 20/07/2019 17:41

Nimesoma maelezo vzr nimeyaelewa. Ila Natamani Kujua, " LAVEL YA MSINGI utahitaji tofali ngapi za Kuchoma? "maana mchanganuo unaelezea Tofali za kuchoma Kwa lavel ya KUTA tu.?!!

 Nafuu 3 bedrooms ya ukweli

1.0 Suitability
1.0 Affordability
1.0 Aesthetics
Review
rated
0.0
Makazi Team
33 reviews 21/06/2019 15:12

habari fungua link hii ili uweze ziona https://makazi.ne.tz/designs/?fwp_minimum_plot_size=da74e653d8ada9530fff3050886d37ea

 3 bedrooms Nafuu

0.0 Suitability
0.0 Affordability
0.0 Aesthetics
Review
rated
5.0
Frumence
79 reviews 19/06/2019 14:53

Nahitaji ramani nzuri ya kisasa nyumba vyumba vitatu, jiko, dining na mini store inayotosha kiwanja cha 15*15

 3 bedrooms Nafuu

5.0 Suitability
5.0 Affordability
5.0 Aesthetics
 
About | Contacts | Terms | Privacy
error: Alert: Content is protected !!
en_GBEN
swSW en_GBEN
Register New Account
Reset Password
Compare items
  • Total (0)
Compare
0
Send this to a friend