Technovil House Design

Magomeni, Dar es Salaam, Dar es Salaam Tanzania - 255

+255688848289
reviews
Makazi Team and 4 others have reviewed this store
3.0 Suitability
3.0 Affordability
3.0 Aesthetics
3.0/5
Review
rated
0.0
Makazi Team
33 reviews 01/11/2019 10:29

- Ukubwa wa vyumba ni around 4x4mita kwa vya kawaida na master ni 4.5x4.5mita - Inawezekana kuongezewa chumba ikawa na 4 ijapokuwa itahitaji kuifanyia marekebisho ramani ambapo ada ya kukufanyia marekebisho yako binafsi imeoneshwa hapo juu ambayo ni Tshs. 1,250,000/=; baada ya malipo then utaanza kuandaliwa na itachukua siku ~14 kukamilika - Waweza pia angalia nyumba nyingine za vyumba 4 ktk link hii https://makazi.ne.tz/designs/shop/?fwp_number_of_all_bedrooms=4 - Kwa msaada zaidi +255-657-685-268 (namba iliyoandikwa chini ktk website)

 Nyumba nzuri vyumba vitatu ya kubalizi upepo juu

0.0 Suitability
0.0 Affordability
0.0 Aesthetics
Review
rated
5.0
Ally
79 reviews 31/10/2019 15:49

Napenda kujua ukubwa was vyumba. Pia napenda kiongezeke chumba kimoja

 Nyumba nzuri vyumba vitatu ya kubalizi upepo juu

5.0 Suitability
5.0 Affordability
5.0 Aesthetics
Review
rated
0.0
Makazi Team
33 reviews 12/10/2019 15:37

Hello, jiunge uanachama ili uweze ona makisio gharama ujenzi kwa nyumba nzima na kwa kila steji (msingi, kuta, paa, maji, Dari, umeme...) Kwa kila nyumba utakayofungua ikiwa pamoja na hii. Jiunge sasa uanachama kwa kubofya hapa https://makazi.ne.tz/designs/membership-account/

 Kighorofa kizuri cha kisasa chenye unafuu na utoshelevu

0.0 Suitability
0.0 Affordability
0.0 Aesthetics
Review
rated
5.0
Denis Derua
79 reviews 12/10/2019 15:20

Adi namaliza itanigararimu kiasi gani kima cha chini cha makadirio

 Kighorofa kizuri cha kisasa chenye unafuu na utoshelevu

5.0 Suitability
5.0 Affordability
5.0 Aesthetics
Review
rated
5.0
Fabiano Mbonaliba
1 reviews 23/09/2019 12:23

Where is the inside map of this house

 Four bedrooms family house with great views

5.0 Suitability
5.0 Affordability
5.0 Aesthetics
 
About | Contacts | Terms | Privacy
error: Alert: Content is protected !!
en_GBEN
swSW en_GBEN
Register New Account
Reset Password
Compare items
  • Total (0)
Compare
0
Send this to a friend