Usanifu wa Mandhari ya nje au Landscape Design

Chagua ramani ya nyumba hapa ambayo umeipenda na inayokidhi mahitaji na bajeti yako vyema kisha fanya malipo nasi tuje kukujengea popote ulipo tanzania ktk ubora na unafuu. Malipo ya mafundi wetu waweza fanya kidogo kidogo na ujenzi utafanyika kwa awamu kulingana na malipo yako. Kwetu utalipia ada ya ufundi tuu na vifaa utanunua wewe mwenyewe.  

Tuna “Print” Ramani Yako Ardhini Ilivyo

[wpsm_quick_slider ids=”18486,18487,18488,18489,18490,18491,18492,18493,18494,18495,18496,18497,18498,18499,18500,18501,18502,18511,18512,18513,18514,18609,19092,19091,19090″]


[wpsm_toggle class=”active” title=”Taratibu za Huduma za Ufundi Wetu”] [wpsm_list type=”check” gap=”small”]
  • Punguza 5% ya gharama ya ufundi kisha utapewa QUOTATION YA VIFAA vinavyohitajika kwa steji hiyo uliyochagua; Utatumiwa ndani ya lisaa limoja ktk email na pia tutakupigia simu
  • Ukishapewa quotation ya vifaa, basi utatujuza siku gani fundi wetu aje kwako kukujengea kwa steji hiyo (Atakuja siku 3 tangu umuite kama upo mkoani)
  • Ili Fundi aje unapaswa uweze kumalizia 95% ya ada ya ufundi iliyobaki hapa hapa mtandaoni
  • Kwa Boss uliye mkoani utawajibika kwa swala la nauli ya fundi kuja na kurudi. Nauli zimeorodheshwa hapo juu
  • Kazi inapoendelea site, tunaendelea kuwasiliana na fundi huko aliko kuhakikisha ubora wa kazi yako
  • Sisi tunamlipa fundi kila anapomaliza steji fulani ya kazi na baada ya wewe kuafiki na umeridhika
  • Fundi anapokuja site ya mkoani basi utalazimika kumuandalia chumba cha kulala na tandiko la kawaida tu ila lenye utu
  • Fundi anapokuja site kwako, gharama za chakula ni juu yake fundi, wewe huhusiki kumuhudumia chakula
  • Fundi hausiki na kununua na kutunza vifaa site, kazi yake ni kujenga tuu kulingana na mchoro wa jengo husika
  • Wewe hauhusiki kukodi mashine za kazi kama mashine ya zege au shindilia
  • Boss unahusika kukodi/ kununua formwork na majukwa (scaffolding) ya kujengea
  • Ni haki na wajibu wa fundi kuweza kufanya kazi kwa weledi na kutunza nidhamu na heshima ya site kwako na anapolala
  • Kwa jambo au ishu yoyote ile kabla au pindi unapokuwa site tuwasiliane hapa mtandaoni
[/wpsm_list] [/wpsm_toggle]
 

Ufafanuzi wa Aina ya Mafundi

  • Fundi Bajeti – ni fundi wa mtaani anayefanya kazi yake kwa uzoefu zaidi na hajaenda kusomea elimu yoyote ya ujenzi. Fundi huyu anajua kufanya kazi ila kiwango chake cha ubora na nidhamu ya kazi kimejikita zaidi ktk unafuu wa gharama ya ufundi; yaani anajenga ijapokuwa ubora na usafi wa mkono wake umepungua kutokana na unafuu wa gharama, elimu, muda, kipaji na uzoefu. Fundi hawa ndio wanaojenga zaidi nyumba nyingi mtaani; anafaa kwa mtu anayehitaji kuokoa gharama ufundi na pia nyumba yake ni ya kawaida, sio kubwa, sio dream house na anajali gharama nafuu zaidi ya finishing nzuri.
  • Fundi Plus – ni fundi wa kawaida anayefanya kazi katika kuielewa zaidi  na anaweza akawa amesomea ujenzi huo au anafanya kazi kwa kipaji ila katika umakini zaidi. Ubora na usafi wa kazi yake unaweza uona zaidi na ukauelewa vyema. Mtumie fundi huyu kwa kujenga nyumba yako ya kawaida katika ubora zaidi.
  • Fundi Pro – huyu ni fundi mzuri mwenye kipaji, elimu, nidhamu na uzoefu ili kufanikisha ujenzi wa nyumba yako. Ni fundi anayejali zaidi jina lake kupitia kazi anayoifanya. Mafundi hawa wengi wana diploma na degree na baadhi yao certificate. Mtumie fundi huyu kujenga nyumba yako katika ubora zaidi na uweze ifurahia kazi yako; Unapojenga dream house yako basi hakikisha unamtumia fundi huyu.

[wpsm_column size=”one-third”]

[/wpsm_column][wpsm_column size=”one-third”] [wpsm_codebox style=”2″]

Una swali?   +255-657-685-268

[/wpsm_codebox] [/wpsm_column][wpsm_column size=”one-third” position=”last”] [/wpsm_column]
Makazi Icon Blue

Jiunge Uanachama

Jiunge uanachama ili uweze ona ramani ya mpangilio vyumba kabla hujanunua ramani kamili; Fahamu inahitaji PESA kiasi gani KUWEKEZA ktk biashara yako ili faida yake uitumie kama mtaji wa kujengea nyumba hiyo. Fahamu kiasi cha MKOPO UJENZI cha kuchukua na kurudisha kila mwezi ktk benki yako. Pia, utaweza ona GHARAMA za kujenga msingi, kuta, paa, dari, rangi, milango, madirisha... kwa nyumba zote ktk mtandao wetu, ili uweze CHAGUA, LINGANISHA, KUWEKA MIPANGO & MIKAKATI ya Jinsi ya Kuuendea Ujenzi Wako Vyema!