- 3%

Tunafunga full system ya mabomba katika nyumba yako mpya katika kiwango cha hali ya juu

I Love this ServiceAdded to My Work ListRemoved from wishlist 1
Compare Services
+255719253565
Loading...
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Andika Urefu (mita)
Ukubwa (mita mraba)
Idadi
0% Complete

  Tsh0
  * Required

  Sh3,000,000 Sh2,900,000/ nyumba

  Loading...
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Andika Urefu (mita)
  Ukubwa (mita mraba)
  Idadi
  0% Complete

   Tsh0
   * Required
   Malipo haya kwa Mtaalamu ni Kwajili yaLabor Only
   Jumla ya kazi zilizofanyika mpaka sasa54
   Namna ya kuhakikisha ubora wa kaziKwanza ni muhimu kabisa kuhakikisha kuwa vifaa vya maji na mabomba vinakaa sehemu iliyo sahihi; Kama kuna mchoro wa mabomba basi utafuatwa huo au kama hakuna basi tutaandaa namna sahihi ya mabomba na masinki kuweza kukaa na kufungwa. Ni muhimu kuhakikisha kuwa mabomba yanapita vyema sehemu sahihi hata kama ikitokea hitilafu basi kuwe na uwezekano wa kuweza kurekebisha bila kutumia gharama kubwa sana. Vifaa vyote, mabomba na masinki yanafungwa kwa welidi mzuri na kuhakikisha kuwa vinakaa katika pima maji vizuri na vinatiririsha maji katika mwelekea sahihi bila kukwama kwa sasa na baadaye. Testing ni muhimu kuhakikisha kuwa kazi yako inakuwa katika ubora.
   Kiasi cha juu cha elimu ufundiDiploma
   Orodha ya vitendea kazi vitakavyotumikakisu pima maji mwiko tindo nyundo msumeno spana
   Orodha ya vifaa vitakavyohitajikaMabomba Masink ya kunawia masinki ya jikoni vyoo vya kukaa vyoo vya kuchuchumaa taps jacuzzi shower trays
   Kiuzoefu bajeti ya vifaa+ufundi huwa (Tsh)1 - 2.5M
   Idadi ya watu wa kuifanya kaziWafanyakazi-5
   Muda wa kukamilisha kaziSiku-10
   Mipaka ya kusafiri kufanya kaziCountry Wide
   Kusafiri nje ya mji kufanya kaziYes
   Njia ya kupima bei ya kazinyumba
     Ask a Question
   Office
   Category: Tags: ,

   Maji ni uhai. Nyumba bora ni choo bora. Tunakufungia mfumo mzima wa mabomba, masink na vyoo katika nyumba mpya unayoijenga katika kiwango cha ubora wa hali ya juu. Epuka mpangilio mbaya wa mabomba na mfumo mzima wa maji katika nyumba yako kwa kutumia wataalamu wanaofanya kazi katika ubora mzuri.

   Tunahakikisha kazi yako inakuwa katika mwonekano wa kuvutia na uliopangiliwa kisawasawa kitaalamu hata kipindi cha nmaintanance yako isikusumbue kufanya.

   General Enquiries

   There are no enquiries yet.

   Register New Account
   Reset Password
   Compare Services
   • Total (0)
   Compare
   0

   Send this to a friend