- 13%

Tunafunga gabion za kuzuia mmomonyoko ardhi ktk Kingo za kiwanja

Add to wishlistAdded to wishlistRemoved from wishlist 0
Add to compare
+255788135444
Loading...
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Andika Urefu (mita)
Ukubwa (mita mraba)
Idadi
0% Complete

  Tsh0
  * Required

  Sh40,000 Sh35,000/ idadi

  Loading...
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Andika Urefu (mita)
  Ukubwa (mita mraba)
  Idadi
  0% Complete

   Tsh0
   * Required
   Malipo haya kwa Mtaalamu ni Kwajili yaLabor Only
   Jumla ya kazi zilizofanyika mpaka sasa11
   Namna ya kuhakikisha ubora wa kaziNi muhimu kulisoma eneo la kazi lilivyo. Ni muhimu kujua sababu ya mmomonyoko na kama gabioni itafaa kuwekwa kutatua tatizo hilo. Gabioni inabidi iwekwe eneo husika katika namna itakayokaa kwa kudumu ktk balansi nzuri kabisa. Pia ni muhimu kuhakikisha imepangiliwa kuzuia kweli udongo wa eneo lako usisombwe na maji yapite.
   Kiasi cha juu cha elimu ufundiTalent
   Orodha ya vitendea kazi vitakavyotumikaNyundo Koreo Panga Mirunda
   Orodha ya vifaa vitakavyohitajikaGabioni Mawe Waya
   Kiuzoefu bajeti ya vifaa+ufundi huwa (Tsh)2.5 - 5M
   Idadi ya watu wa kuifanya kaziWafanyakazi-2
   Muda wa kukamilisha kaziSiku-2
   Mipaka ya kusafiri kufanya kaziCountry Wide
   Kusafiri nje ya mji kufanya kaziYes
   Njia ya kupima bei ya kaziidadi
     Ask a Question
   Office
   0 out of 5
   Category: Tags: , , , , ,

   Je, eneo la kingo za kiwanja chako zinamomonyoka? Kiwanja chako kipo katika miteremko ya maji inayomomonyoka kutokana na maji kutiririka?

   Tunakufungia gabioni vizuri katika maeneo hayo yanayomomonyoka ili kusaidia udongo usimomonyoke na ardhi yako iendelee kuwa salama na nyumba isiaombwe na mmomonyoko.

   ==> gabioni moja ina urefu 4m, upana 1m, kimo 1m
   ==> gabioni moja inajazwa mawe ambayo ni sawa na ujazo wa mita za ujazo 4 (cub)
   ==> gabioni Mara nyingi marefu yake yanakaa sambamba na urefu wa eneo lako la kazi

   Kwasababu gabioni inakuwa boksi la nyavu waya ziliziwekwa mawe, basi nafasinafasi kati ya mawe inasaidia maji kupita na kuzuia udongo usipite. Uzito wake na umbo lake la mche linasaidia gabioni ikae vyema eneo husika bila kusukumwa na maji

   User Reviews

   0.0 out of 5
   0
   0
   0
   0
   0
   Write a review

   There are no reviews yet.

   Be the first to review “Tunafunga gabion za kuzuia mmomonyoko ardhi ktk Kingo za kiwanja”

   Your email address will not be published. Required fields are marked *

   General Enquiries

   There are no enquiries yet.

   Register New Account
   Reset Password
   Compare items
   • Total (0)
   Compare
   0

   Send this to a friend