- 5%

Tunahakiki kiwanja chako kitaalamu kama kipo sehemu sahihi ya makazi kiserikali

Add to wishlistAdded to wishlistRemoved from wishlist 1
Add to compare
+255713778937
Loading...
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Andika Urefu (mita)
Ukubwa (mita mraba)
Idadi
0% Complete

  Tsh0
  * Required

  Sh210,000 Sh200,000/ idadi

  Loading...
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Andika Urefu (mita)
  Ukubwa (mita mraba)
  Idadi
  0% Complete

   Tsh0
   * Required
   Malipo haya kwa Mtaalamu ni Kwajili yaLabor + Material
   Jumla ya kazi zilizofanyika mpaka sasa45
   Namna ya kuhakikisha ubora wa kaziMpima ardhi ni lazima afike site kwako na kifaa (Handheld GPS), Achukue vipimo kuzunguka eneo lako, Baada ya hapo akatafute taarifa za eneo lako halmashaur/ wizaran ili aweze kupata raman ya mipango mij na kuhakiki
   Kiasi cha juu cha elimu ufundiDegree
   Orodha ya vitendea kazi vitakavyotumikaHandheld GPS
   Orodha ya vifaa vitakavyohitajikaHandheld GPS
   Kiuzoefu bajeti ya vifaa+ufundi huwa (Tsh)0 - 1M
   Idadi ya watu wa kuifanya kaziWafanyakazi-2
   Muda wa kukamilisha kaziSiku-2
   Mipaka ya kusafiri kufanya kaziCountry Wide
   Kusafiri nje ya mji kufanya kaziYes
   Njia ya kupima bei ya kaziidadi
     Ask a Question

   Hatua za kuhakiki kiwanja chako kama kipo sehemu sahihi ya makazi ili kisha uweze kuendelea kupata hati ya kiwanja
   1⃣ Ukaguzi wa eneo lako husika ili kujua eneo lako limepangwa kwa ajili ya matumizi gani, Hapa atashirikishwa mpima ardhi kwa ajili ya kufanya utambuzi wa eneo husika kujua lipo kwa ajili ya matumizi gani, Hivyo ni lazima afike site kwako na kifaa (Handheld GPS), Achukue vipimo kuzunguka eneo lako, Baada ya hapo akatafute taarifa za eneo lako halmashaur/ wizaran ili aweze kupata raman ya mipango miji.
   2⃣ Matokeo ya zoezi la ukaguzi wa eneo,

   ➡ Eneo husika kukosa sifa za kupimika, eneo husika linaweza likakosa sifa za kupimika kwa eneo husika kutokua limeandaliwa matumizi kabisa (halina mchoro wa mipango miji), Eneo husika kuwa lipo katika matumizi ya maeneo ya kijamii mf makabuli, barabara, soko n.k
   ➡ Eneo husika kuwa na sifa ya kupimika,

   Eneo husika kuwa katika matumizi ambayo mtu binafsi anaweza kumili mf makazi, hotel, biashara n.k

   ___________________________________________________
   ==> baada ya kuhakiki eneo lako kama lipo sehemu ya makazi basi utaweza kuendelea kupima kiwanja chako kama utapenda

   3⃣ Kibali cha upimaji,

   Mteja au mmiliki halali wa eneo husika inabidi aandae barua kwa ajili ya kuomba kupimiwa eneo lake, Barua hiyo itapita serikali ya mtaa na halmashauri husika.
   4⃣.Upimaji,

   Hapa ni suala la kitaaluma zaidi ambapo mtaalama ataweka mipaka katika eneo lako kwa kutumia mawe (beacons), litaandaliwa file kwa ajili ya kwenda wizaran likiambatanishwa na ramani ya upimaji. Na mwishowe utarudishiwa ramani iliyo hakikiwa toka wizarani kama ramani ya upimaji.
   5⃣ Mteja utakabiziwa ramani ya upimaji,

   ambayo utapaswa uende nayo kwenye halmashaur husika umuone afisa ardhi ili aweze kukuandalia hati miliki yako.
   ==> kumbuka hizi ni gharama za hatua ya kuhakiki tu kiwanja chako kama kipo sehemu sahihi ya makazi

   ==> Uhakiki huu ni wa plot yako moja ya kiwanja

   User Reviews

   0.0 out of 5
   0
   0
   0
   0
   0
   Write a review

   There are no reviews yet.

   Be the first to review “Tunahakiki kiwanja chako kitaalamu kama kipo sehemu sahihi ya makazi kiserikali”

   Your email address will not be published. Required fields are marked *

   General Enquiries

   There are no enquiries yet.

   Register New Account
   Reset Password
   Compare items
   • Total (0)
   Compare
   0

   Send this to a friend