- 4%

Tunajenga mashimo ya choo ya gharama nafuu ya nyumba ya familia na yasiyojaa (biodigester)

I Love this ServiceAdded to My Work ListRemoved from wishlist 1
Compare Services
Loading...
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Andika Urefu (mita)
Ukubwa (mita mraba)
Idadi
0% Complete

  Tsh0
  * Required

  Sh2,600,000 Sh2,500,000/ idadi

  Loading...
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Andika Urefu (mita)
  Ukubwa (mita mraba)
  Idadi
  0% Complete

   Tsh0
   * Required
   Malipo haya kwa Mtaalamu ni Kwajili yaLabor + Material
   Jumla ya kazi zilizofanyika mpaka sasa21
   Namna ya kuhakikisha ubora wa kaziKikubwa katika kufanikisha mifumo hii ni kuelewa namna inavyofanya kazi (kibaolojia na kiujenzi). Ni muhimu kuhakikisha idadi ya watumiaji na uwezo wa shimo vinaendana. Eneo la kuwekwa mfumo huu inabidi liangaliwe vyema kuhakikisha kunakuwa na mtiririko mzuri wa uchafu bila shida lkn pia nafasi itakayotosha pamoja na unafuu wa gharama. Mfumo unajengwa kwa kufuata mchoro wa ujenzi na mwisho kufanyiwa test ili kuhakikisha inafanya kazi vyema.
   Kiasi cha juu cha elimu ufundiDegree
   Orodha ya vitendea kazi vitakavyotumikaMwiko Pima maji Spedi Nyundo Ndio Pipa
   Orodha ya vifaa vitakavyohitajikaTanki la Bio-digester Grease trap Mabomba Mawe Mchanga Saruji Mbao Wavu
   Kiuzoefu bajeti ya vifaa+ufundi huwa (Tsh)1 - 2.5M
   Idadi ya watu wa kuifanya kaziWafanyakazi-3
   Muda wa kukamilisha kaziSiku-8
   Mipaka ya kusafiri kufanya kaziCountry Wide
   Kusafiri nje ya mji kufanya kaziYes
   Njia ya kupima bei ya kaziidadi
     Ask a Question

   Bio-septic tanks ni mfumo wa kisasa wa choo wa kibio-digester ambao una sifa kama…

   1.Hazijai milele, hii ni kwa kutokana na matumizi ya natural bakteria ambao wana speed up kuozesha uchafu kwenye tank.

   2.Inafanya kazi vizuri hata kama kuna chemichemi au water table ipo juu kwa kuwa hairuhusu maji ya ndani kutoka nje au maji ya nje kuingia ndani.

   3.Hamna gharama ya unyonyaji.

   4.Inatumia sehemu ndogo ya eneo lako

   5.Hamna harufu wala wadudu mf mende

   6.Gharama zake ni ndogo

   7.Tunakupa guarantee ya miaka 5 kwa mteja incase kama kunahitajika huduma yoyote bure.

   8.Ni rafiki kwa mazingira.

   9.Hakuna hatari ya watu au watoto kutumbukia.

   10.Haiwezi kutitia

   11.Inaweka mwonekano mzuri wa nyumbani kwako

   ==> hii ni bei kwa shimo la choo la watu wasiozidi 20 wanaotumia choo

   Tunafanya kaźi Dar es salaam na mikoani pia tunatengeneza system za size tofauti kama za shule, Hotel, Apartment, Hospital, Familia moja etc.

   Client Reviews

   0.0 out of 5
   0
   0
   0
   0
   0
   Write a review

   There are no reviews yet.

   Be the first to review “Tunajenga mashimo ya choo ya gharama nafuu ya nyumba ya familia na yasiyojaa (biodigester)”

   Your email address will not be published. Required fields are marked *

   General Enquiries

   There are no enquiries yet.

   Register New Account
   Reset Password
   Compare Services
   • Total (0)
   Compare
   0

   Send this to a friend