- 2%

Tunakujengea mtambo wa bayogesi wa kupikia wa kutosha familia ya mpaka watu 10

Add to wishlistAdded to wishlistRemoved from wishlist 0
Add to compare
+255754393958
Loading...
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Andika Urefu (mita)
Ukubwa (mita mraba)
Idadi
0% Complete

  Tsh0
  * Required

  Sh4,100,000 Sh4,000,000/ idadi

  Loading...
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Andika Urefu (mita)
  Ukubwa (mita mraba)
  Idadi
  0% Complete

   Tsh0
   * Required
   Malipo haya kwa Mtaalamu ni Kwajili yaLabor + Material
   Jumla ya kazi zilizofanyika mpaka sasa32
   Namna ya kuhakikisha ubora wa kaziMitambo inajengwa kwenye mashimo yaliyochimbwa kwa vipimo maalumu. Vifaa vinavyotumika kujengea ni tofari za kuchoma au block (ndogo) za kipimo cha sm. 20×10×7, sementi, mchanga, kokoto, mawe, chokaa na water proofer. Njia ya gesi huunganishwa kwa kutumia bomba za chuma au plastic (Pu au IPS) za ukubwa wa ¾" na ½", kutoka kwenye mtambo hadi kwenye matumizi husika. Baada ya ujenzi kukamilika kazi ya kujaza mtambo hufuatia. Kinyesi cha ng'ombe, nguruwe na kuku wa kwenye chanja kinafaa zaidi. Unatumia uwiano wa 1:3 yaani ndoo moja ya kinyesi kwa ndoo tatu za maji/mkojo. Unakoroga na kutoa taka zote kisha unaingiza mchanganyiko huo kwenye mtambo kupitia kwenye bomba (inlate pipe). Zoezi la kulisha (kujaza) mtambo linakua endelevu kwa kadri unavyo tumia gesi. Kwenye jumuia kubwa kama vile Shule, Vyuo, Hospitali, Magereza n.k, tunatumia kinyesi cha binadamu kwa kuunganisha moja kwa moja mashimo ya vyoo na mtambo wa biogas. Mabaki yaliyokwisha zalisha gesi husukumwa nje ya mtambo kupitia kwenye chemba za kutolea (expansion chembers). Mabaki haya yanakua katika hali ya ujiuji na hayana harufu, yanafaa kwa mbolea ya shambani na kwenye bustani.
   Kiasi cha juu cha elimu ufundiCertificate
   Orodha ya vitendea kazi vitakavyotumikaMwiko, toroli, jembe, sururu, karai, ndoo, spana, kibao, squares, level...
   Orodha ya vifaa vitakavyohitajikaTofari za kuchoma au block (ndogo) za kipimo cha sm. 20×10×7, sementi, mchanga, kokoto, mawe, chokaa na water proofer. Njia ya gesi huunganishwa kwa kutumia bomba za chuma au plastic (Pu au IPS) za ukubwa wa ¾" na ½", kutoka kwenye mtambo hadi kwenye matumizi husika.
   Kiuzoefu bajeti ya vifaa+ufundi huwa (Tsh)2.5 - 5M
   Idadi ya watu wa kuifanya kaziWafanyakazi-5
   Muda wa kukamilisha kaziSiku-12
   Mipaka ya kusafiri kufanya kaziEast Africa Wide
   Kusafiri nje ya mji kufanya kaziYes
   Njia ya kupima bei ya kaziidadi
     Ask a Question

   Tunakujengea mtambo wa bayogesi ya kupikia kwajili ya familia ya mpaka watu 10 wa ukubwa wa size 10m³; TunaTunashughulika na ujenzi na ukarabati wa Mitambo ya Biogas tangu mwaka 1995 mpaka hivi sasa.

   MUHTASARI KUHUSU TEKNOLOJIA YA BIOGAS

   Biogas ni mchamganyiko wa hewa ya:

   • Methene (CH4-60% VOL)
   • Carbondioxide (Co2-36% VOL)
   • Hydrogen (H)
   • Hydrogen sulphide (H2C-0.3% VOL)

   Mchanganyiko huu wa gesi unatokana na taka zilizooza na kumeng’enywa na bacteria kwa muda wa takribani siku 30 hadi 90. Kazi hii hufanyika ndani ya mtambo wa biogas. Mitambo inajengwa kwenye mashimo yaliyochimbwa kwa vipimo maalumu.

   Vifaa vinavyotumika kujengea ni tofari za kuchoma au block (ndogo) za kipimo cha sm. 20×10×7, sementi, mchanga, kokoto, mawe, chokaa na water proofer.

   Picha zifuatazo zinaonyesha hatua mbalimbali za ujenzi wa mitambo ya biogas.
   Njia ya gesi huunganishwa kwa kutumia bomba za chuma au plastic (Pu au IPS) za ukubwa wa ¾” na ½”, kutoka kwenye mtambo hadi kwenye matumizi husika.
   Baada ya ujenzi kukamilika kazi ya kujaza mtambo hufuatia. Kinyesi cha ng’ombe, nguruwe na kuku wa kwenye chanja kinafaa zaidi. Unatumia uwiano wa 1:3 yaani ndoo moja ya kinyesi kwa ndoo tatu za maji/mkojo. Unakoroga na kutoa taka zote kisha unaingiza mchanganyiko huo kwenye mtambo kupitia kwenye bomba (inlate pipe). Zoezi la kulisha (kujaza) mtambo linakua endelevu kwa kadri unavyo tumia gesi.

   Kwenye jumuia kubwa kama vile Shule, Vyuo, Hospitali, Magereza n.k, tunatumia kinyesi cha binadamu kwa kuunganisha moja kwa moja mashimo ya vyoo na mtambo wa biogas.

   Mabaki yaliyokwisha zalisha gesi husukumwa nje ya mtambo kupitia kwenye chemba za kutolea (expansion chembers). Mabaki haya yanakua katika hali ya ujiuji na hayana harufu, yanafaa kwa mbolea ya shambani na kwenye bustani.
   Mitambo inajengwa kwa ukubwa tofauti kulingana na mahitaji kama ifuatavyo:-

   ==> Kwa Mtambo wetu huu wa size ya familia ya mpaka watu 10 ni wa ukubwa wa 10m³; Unatakiwa uwe na ng’ombe wawili na kuendelea.

   FAIDA ZA KUTUMIA MITAMBO YA BIOGAS.

   • Kubana matumizi kwa kupata gesi ya kupikia, kuwashia taa, bunsen burner, fridge, Generator, mashine za kukuzia vifaranga (incubator).
   • Kutunza mazingira kwa kupunguza matumizi ya kuni na mkaa.
   • Kupata mbolea bora inayofaa kurutubisha ardhi.
   • Biogas hailipuki kama gesi nyingine.
   • Mitambo hii haiitaji ukarabati wa mara kwa mara.
   • Mitambo inadumu kwa miaka 30 mpaka 40.

   User Reviews

   0.0 out of 5
   0
   0
   0
   0
   0
   Write a review

   There are no reviews yet.

   Be the first to review “Tunakujengea mtambo wa bayogesi wa kupikia wa kutosha familia ya mpaka watu 10”

   Your email address will not be published. Required fields are marked *

   General Enquiries

   There are no enquiries yet.

   Register New Account
   Reset Password
   Compare items
   • Total (0)
   Compare
   0

   Send this to a friend