- 4%

Tunakupigia paa la vigae vya Decra ktk nyumba yako kwa unadhifu wa kupendeza

I Love this ServiceAdded to My Work ListRemoved from wishlist 0
Compare Services
Loading...
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Andika Urefu (mita)
Ukubwa (mita mraba)
Idadi
0% Complete

  Tsh0
  * Required

  Sh2,500,000 Sh2,400,000/ nyumba

  Loading...
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Andika Urefu (mita)
  Ukubwa (mita mraba)
  Idadi
  0% Complete

   Tsh0
   * Required
   Malipo haya kwa Mtaalamu ni Kwajili yaLabor Only
   Jumla ya kazi zilizofanyika mpaka sasa38
   Namna ya kuhakikisha ubora wa kaziTunafanya kazi kitaalamu kwa kufuata mchoro wa ramani. Tunahakikisha kwanza level za nyumba zinakawa sawa ktk kuset kenchi zetu. Kamba na pima maji vinatumika kuhakikisha kuwa kenchi na mbao zote zimenyoka sawia. Bati zinapangiliwa na kukatwa vyema kuhakikisha hakuwi na vipande vingi vinavyopotea potea ovyo. Masumari inapangiliwa na kupigwa inapostahili na kwa makini. Mkeka wa bati unasukwa KWA kufuata kamba na mpangilio mzuri wa migongo ili uwe umekaa na kujishika vyema. Bila kusahau kuwa mbao zako zinatakiwa kuwa zimepigwa dawa na kunyoshwa vyema.
   Kiasi cha juu cha elimu ufundiTalent
   Orodha ya vitendea kazi vitakavyotumikaNyundo Kamba Msumeno Square Panga
   Orodha ya vifaa vitakavyohitajikaVigae badge Combination Valley Misumari Mbao Facial board Vents Barrel End Roof Tile Flashing Roof Tile Side Flashing Roof Tile Touch up Paint Ridge Hip Roof Tile Barrel Roof Tile
   Kiuzoefu bajeti ya vifaa+ufundi huwa (Tsh)2.5 - 5M
   Idadi ya watu wa kuifanya kaziWafanyakazi-6
   Muda wa kukamilisha kaziSiku-6
   Mipaka ya kusafiri kufanya kaziCountry Wide
   Kusafiri nje ya mji kufanya kaziYes
   Njia ya kupima bei ya kazinyumba

   Tumebobea katika upauaji wa nyumba kwa kutumia vigae vya decra ktk kiwango cha ubora mzuri na wa kuridhisha. Wanasema Mwanamke nywele, basi hata Nyumba ni paa na Vigae vya decra huwa havikosei.

   ==> gharama yetu hii ni kwa nyumba ya kawaida na kwa vigae vya decra.
   Team yetu inafanya kazi kwa haraka na nidhamu kuhakikisha kazi yako inakuwa ktk ubora unaotakiwa.

   Swala la nyumba kuvuja sahau.

   Swala la paa lililopinda sahau.

   Swala la paa linalokera sahau

   Client Reviews

   0.0 out of 5
   0
   0
   0
   0
   0
   Write a review

   There are no reviews yet.

   Be the first to review “Tunakupigia paa la vigae vya Decra ktk nyumba yako kwa unadhifu wa kupendeza”

   Your email address will not be published. Required fields are marked *

   Professional Information

   • Office Name: Ally Ninga
   • Professional: Ally Ninga
   • Address: Dar es Salaam
    Ubungo
    Dar es Salaam
    255
   • 4.00 4.00 rating from 1 review
   Added to My Work ListRemoved from wishlist 1
   Compare Services
   - 9%
   Tunapiga paa la nyumba yako likiwa limenyoka zaidi ya rula ktk ubora

   Tunapiga paa la nyumba yako likiwa limenyoka zaidi ya rula ktk ubora

   Served by Ally Ninga
   Sh1,750,000 Sh1,600,000/ nyumba
   Register New Account
   Reset Password
   Compare Services
   • Total (0)
   Compare
   0

   Send this to a friend