- 9%

Tunakutengenezea mtambo wa Bayogesi wa gesi ya kupikia nyumbani kwako kutumia kinyesi cha mifugo yako

(1 customer review)
Add to wishlistAdded to wishlistRemoved from wishlist 0
Add to compare
Loading...
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Andika Urefu (mita)
Ukubwa (mita mraba)
Idadi
0% Complete

  Tsh0
  * Required

  Sh2,200,000 Sh2,000,000/ idadi

  Loading...
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Andika Urefu (mita)
  Ukubwa (mita mraba)
  Idadi
  0% Complete

   Tsh0
   * Required
   Malipo haya kwa Mtaalamu ni Kwajili yaLabor + Material
   Jumla ya kazi zilizofanyika mpaka sasa11
   Namna ya kuhakikisha ubora wa kaziJambo la msingi ni kuhakiki mazingira ya kazi itakapokwenda kufanyika kama yanakidhi na nini kifanyike ili mfumo mzima na mtambo uweze kufanya kazi vyema. Pia ujenzi unafanyika kwa kufuata kiwango cha ubora na usalama. Mteja ataelekezwa namna ya kutumia na kuutunza mtambo wako vyema kabisa
   Kiasi cha juu cha elimu ufundiDegree
   Orodha ya vitendea kazi vitakavyotumikajembe sururu ndoo
   Orodha ya vifaa vitakavyohitajikasaruji mchanga kokoto tofali mabomba mbao mirunda maji
   Kiuzoefu bajeti ya vifaa+ufundi huwa (Tsh)1 - 2.5M
   Idadi ya watu wa kuifanya kaziWafanyakazi-3
   Muda wa kukamilisha kaziSiku-7
   Mipaka ya kusafiri kufanya kaziCountry Wide
   Kusafiri nje ya mji kufanya kaziYes
   Njia ya kupima bei ya kaziidadi
     Ask a Question
   Office
   Category: Tags: , ,

   Ndugu mfugaji na watu wote mnaopenda kutumia Bayogesi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani ya kupikia karibuni tuwatengenezee mtambo wa bayogesi nyumbani kwako na uweze kunufaika na unafuuu wa nishati muda wowote na pia uokoe mazingira
   Bayogesi ni mchanganyiko wa gesi inayoundwa na viasilia mbalimbali vinavyotengenezwa katika mazingira ya kutokuwepo hewa (oksijeni) ambayo asilimia kubwa ni gesi ya methane (CH4).
   Bayogesi ambayo aghalabu hutokana na vinyesi cha wanyama kama Ng’ombe,Nguruwe, kuku, masalia ya mimea na kinyesi cha binadamu inaweza kuzalishwa na kutumika kupikia na hata matumizi mengine kama vile kuendeshea mitambo mbalimbali.
   MATUMIZI YA BAYOGESI (Biogas)

   Matumizi ya gesi hii kwa mtu ambaye ana mifugo kama vile nguruwe, ng’ombe yanaweza kusaidia kuondokana na gharama za kununua nishati ya Kuni, Mkaa, Umeme na hata gesi asilia inayochimbwa ardhini.
   Pia Gesi hii inapunguza gharama za watumiaji wa vyanzo vingine vya nishati. Mfano, gharama za nishati ya umeme na gesi asilia ni ghali sana hasa kwa mtumiaji atakayedhamiria kutumia jiko la umeme au jiko la gesi lakini kwa gesi hii ya samadi mtumiaji itamgharimu muda wake tu kujaza samadi na maji kila siku na atakuwa hana malipo ya pesa kila mwezi kama itakavyomlazimu kulipia umeme na gesi asilia kila mwezi, na hata kuni ambazo watumiaji wengine hununua.
   Vile vile Bayogesi ni rafiki mzuri sana kwa Mazingira yetu kwa maana ni gesi ambayo haichafui mazingira yetu tunayoishi.
   Ndugu mfugaji na watu wote mnaopenda kutumia Bayogesi kwa ajili ya matumizi ya nyumbani karibuni mpate huduma za kutengenezewa mitambo mbalimbali ya Bayogesi majumbani.
   ===> ili gesi ipatikane ya kutosha basi ni vyema kinyesi kiwe cha kutosha kinachozalishwa

   – kuku wawe around 1000 au

   – ng’ombe wawe around 6

   1 review for Tunakutengenezea mtambo wa Bayogesi wa gesi ya kupikia nyumbani kwako kutumia kinyesi cha mifugo yako

   3.0 out of 5
   0
   0
   1
   0
   0
   Write a review
   Show all Most Helpful Highest Rating Lowest Rating
   1. Me

    Hivi mavi ya kinyesi cha binadamu hayawezi kutumika kutengenezea bayogesi ?N kiaasi cha kinyesi hicho kinahitajika?

    Helpful(0) Unhelpful(0)You have already voted this
    • Makazi Team

     Habari. Yes waweza tumia. Kiasi inategemeana na kiasi cha gesi inayohitajika. Ila cha nyumbani kinatosha vyema kabisa.

     Helpful(0) Unhelpful(0)You have already voted this

    Add a review

    Your email address will not be published. Required fields are marked *

    General Enquiries

    There are no enquiries yet.

    Register New Account
    Reset Password
    Compare items
    • Total (0)
    Compare
    0

    Send this to a friend