- 9%

Tunapiga paa la nyumba yako likiwa limenyoka zaidi ya rula ktk ubora

(1 customer review)
Add to wishlistAdded to wishlistRemoved from wishlist 1
Add to compare
+255713629838
Loading...
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Andika Urefu (mita)
Ukubwa (mita mraba)
Idadi
0% Complete

  Tsh0
  * Required

  Sh1,750,000 Sh1,600,000/ nyumba

  Loading...
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Andika Urefu (mita)
  Ukubwa (mita mraba)
  Idadi
  0% Complete

   Tsh0
   * Required
   Malipo haya kwa Mtaalamu ni Kwajili yaLabor Only
   Jumla ya kazi zilizofanyika mpaka sasa38
   Namna ya kuhakikisha ubora wa kaziTunafanya kazi kitaalamu kwa kufuata mchoro wa ramani. Tunahakikisha kwanza level za nyumba zinakawa sawa ktk kuset kenchi zetu. Kamba na pima maji vinatumika kuhakikisha kuwa kenchi na mbao zote zimenyoka sawia. Bati zinapangiliwa na kukatwa vyema kuhakikisha hakuwi na vipande vingi vinavyopotea potea ovyo. Masumari inapangiliwa na kupigwa inapostahili na kwa makini. Mkeka wa bati unasukwa KWA kufuata kamba na mpangilio mzuri wa migongo ili uwe umekaa na kujishika vyema. Bila kusahau kuwa mbao zako zinatakiwa kuwa zimepigwa dawa na kunyoshwa vyema.
   Kiasi cha juu cha elimu ufundiTalent
   Orodha ya vitendea kazi vitakavyotumikaNyundo Kamba Msumeno Square Panga
   Orodha ya vifaa vitakavyohitajikaBati Mifereji Migongo Misumari Mbao Facial board Vents
   Kiuzoefu bajeti ya vifaa+ufundi huwa (Tsh)2.5 - 5M
   Idadi ya watu wa kuifanya kaziWafanyakazi-6
   Muda wa kukamilisha kaziSiku-6
   Mipaka ya kusafiri kufanya kaziCountry Wide
   Kusafiri nje ya mji kufanya kaziYes
   Njia ya kupima bei ya kazinyumba
     Ask a Question
   Office
   2 out of 5
   Category: Tags: , , ,

   Tumebobea katika upauaji wa nyumba ktk kiwango cha ubora mzuri na wa kuridhisha. Wanasema Mwanamke nywele, basi hata Nyumba ni paa.

   ==> gharama yetu hii ni kwa nyumba ya kawaida na kwa bati la migongo mipana (Industrial Trough) au la kawaida (corrugated sheets).
   Team yetu inafanya kazi kwa haraka na nidhamu kuhakikisha kazi yako inakuwa ktk ubora unaotakiwa.

   Swala la nyumba kuvuja sahau.

   Swala la paa lililopinda sahau.

   Swala la paa linalokera sahau

   1 review for Tunapiga paa la nyumba yako likiwa limenyoka zaidi ya rula ktk ubora

   4.0 out of 5
   0
   1
   0
   0
   0
   Write a review
   Show all Most Helpful Highest Rating Lowest Rating
   1. Julius Gidion

    Okay nimewapata nipo mkoa wa mara wilaya ya Tarime mji wa Nyamongo naweza kupata mawasiliano yenu kupitia email yangu hiyo ili nikiwa tayari tuweze kuwasiliana.

    Helpful(0) Unhelpful(0)You have already voted this
    • Makazi Team

     Karibu sana, Tuwasiliane +255-657-685-268

     Helpful(0) Unhelpful(0)You have already voted this

    Add a review

    Your email address will not be published. Required fields are marked *

    General Enquiries

    There are no enquiries yet.

    Register New Account
    Reset Password
    Compare items
    • Total (0)
    Compare
    0

    Send this to a friend