Tunapiga rangi kuta & dari ndani ya nyumba na kuifanya iwe na mwonekano nadhifu na wa afya
Sh550,000 Sh500,000/ nyumba
Tunapiga rangi ndani ya nyumba kwa ustadi na weledi ili kukupa touch na mwonekano mwanana. Bila kujali namna nyumba yako ilivyokaa au kupangiliwa, tutashauriana staili na rangi inayofaa na kisha tutafanya vizuri kazi yako kwa ustadi mzuri. Kama interior design ipo basi itatumika hiyo kuweza kuifanya nyumba yako iwe katika mwonekano kama ulivyoandaliwa kwa designs.
==> kwa bei hii nyumba ya mteja wetu anafanyiwa skimming, anapigiwa msasa, binder na kupigiwa rangi kwa kuta na dari ya nyumba yako ndani
Client Reviews
Be the first to review “Tunapiga rangi kuta & dari ndani ya nyumba na kuifanya iwe na mwonekano nadhifu na wa afya”
Your email address will not be published. Required fields are marked *
General Enquiries
There are no enquiries yet.
There are no reviews yet.