- 7%

Tunatengeneza greenhouse kwa bei nafuu ktk kiwanja chako ili ujiongezee kipato nyumbani

Add to wishlistAdded to wishlistRemoved from wishlist 1
Add to compare
Loading...
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
Chumba + Bafu + Pakuvaa
Chumba + Bafu
Chumba cha Kawaida
Sebure Kuu
Sebure Ndogo
Dining
Jiko
Stoo
Jiko-Stoo
Jiko-Dining-Stoo
Choo
Bafu
Choo + Bafu
Choo-Bafu
Chumba cha Kufulia
Chumba cha Kusomea
Gereji ya Gari
Chumba cha Tafakari
Veranda/ Bakoni
Vyumba Vingine
Andika Urefu (mita)
Ukubwa (mita mraba)
Idadi
0% Complete

  Tsh0
  * Required

  Sh7,000,000 Sh6,500,000/ idadi

  Loading...
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Chumba + Bafu + Pakuvaa + Kichanga
  Chumba + Bafu + Pakuvaa
  Chumba + Bafu
  Chumba cha Kawaida
  Sebure Kuu
  Sebure Ndogo
  Dining
  Jiko
  Stoo
  Jiko-Stoo
  Jiko-Dining-Stoo
  Choo
  Bafu
  Choo + Bafu
  Choo-Bafu
  Chumba cha Kufulia
  Chumba cha Kusomea
  Gereji ya Gari
  Chumba cha Tafakari
  Veranda/ Bakoni
  Vyumba Vingine
  Andika Urefu (mita)
  Ukubwa (mita mraba)
  Idadi
  0% Complete

   Tsh0
   * Required
   Malipo haya kwa Mtaalamu ni Kwajili yaLabor + Material
   Jumla ya kazi zilizofanyika mpaka sasa23
   Namna ya kuhakikisha ubora wa kaziNamna sahihi ya uhudumiaji wa greenhouse hasa mazao yakishawekwa shambani ni kama ifuatavyo 1. Kuhakikisha miche inapata maji kwa wakati kila asubuhi na jioni nyakati za asubuhi maji yafunguliwe kwa muda wa lisaa limoja na jioni pia lisaa limoja. 2. Kuhakikisha miche inapigwa dawa katika muda utakaopangwa. 3. Kufanya mawasiliano na wataalam kila mara katika kujua maendeleo ya mradi.
   Kiasi cha juu cha elimu ufundiDiploma
   Orodha ya vitendea kazi vitakavyotumikaNyundo Msumeno panga chomelea kisu
   Orodha ya vifaa vitakavyohitajikambolea ya samadi kamba waya wavu mabomba ya mipira mabomba vyuma tank
   Kiuzoefu bajeti ya vifaa+ufundi huwa (Tsh)5 - 10M
   Idadi ya watu wa kuifanya kaziWafanyakazi-4
   Muda wa kukamilisha kaziSiku-14
   Mipaka ya kusafiri kufanya kaziCountry Wide
   Kusafiri nje ya mji kufanya kaziYes
   Njia ya kupima bei ya kaziidadi
     Ask a Question
   Office
   Category: Tag:

   Tunatengeneza Green House kwa bei nafuu na kutoa ushauri wa kitalaamu juu ya kilimo chako cha mboga mboga.

   Ukubwa wa mita 8 upana na mita 15 ni urefu, tunajenga tunalo funika kwa wavu maalum, ambapo ndani yake tunaweka miche 400 inaweza kuwa nyanya au pilipili hoho za rangi tofauti kama njano na nyekundu, tunaweka mfumo wa umwagiliaji maji, tank la maji lita elfu moja, kwa gharama ya milion 6 na…

   Katika hii miradi ya greenhouse kuna pande mbili mteja na ofisi hivyo mteja anapaswa kufanya yafuatayo;-

   1. Kutoa fedha kwaajili ya mradi husika kutokana na size atakayohitaji,

   2. Kuandaa eneo la mradi liwe safi na pia kuandaa chanzo cha maji,

   3. Kununua au kuandaa mbolea ya samadi,

   4. Kununua kamba na waya kwaajili ya kufanya ropping.

   Majukumu ya ofisi kwa mteja;-

   1. Kujenga jengo la greenhouse ambalo linawekwa wavu, mfumo wa umwagiliaji( drip )

   2. Kutoa miche na kupanda miche katika greenhouse,

   3. Kufanya installation ya drip na bomba katika tank,

   4. Kutoa ushauri wa mimea na kusaidia katika utafutaji masoko.

   Namna sahihi ya uhudumiaji wa greenhouse hasa mazao yakishawekwa shambani ni kama ifuatavyo

   1. Kuhakikisha miche inapata maji kwa wakati kila asubuhi na jioni nyakati za asubuhi maji yafunguliwe kwa muda wa lisaa limoja na jioni pia lisaa limoja.

   2. Kuhakikisha miche inapigwa dawa katika muda utakaopangwa.

   3. Kufanya mawasiliano na wataalam kila mara katika kujua maendeleo ya mradi.

   Kipindi kizuri zaidi kwa mazao kama 

   nyanya kuyapanda ni mwezi wa 9_1 kwa maana soko la nyanya kipindi cha mwezi wa 2_5 uwa juu zaidi,

   User Reviews

   0.0 out of 5
   0
   0
   0
   0
   0
   Write a review

   There are no reviews yet.

   Be the first to review “Tunatengeneza greenhouse kwa bei nafuu ktk kiwanja chako ili ujiongezee kipato nyumbani”

   Your email address will not be published. Required fields are marked *

   General Enquiries

   There are no enquiries yet.

   Register New Account
   Reset Password
   Compare items
   • Total (0)
   Compare
   0

   Send this to a friend