Makazi.ne.tz ni mtandao mahususi Afrika Mashariki wenye lengo la kuwawezesha watu kuweza kutimiza ndoto za nyumba zao kwa ufanisi zaidi. Tumejikita zaidi ktk kuunganisha wateja, wamiliki, wauzaji, wajenzi, taasisi, makampuni na mtu mmoja mmoja ili mwisho wa siku tuweze tengeneza uhusiano wa kikaz...
4.2/5
AI Engines
Makazi Icon Blue

Jiunge Uanachama

Jiunge uanachama ili uweze ona ramani ya mpangilio vyumba kabla hujanunua ramani kamili; Fahamu inahitaji PESA kiasi gani KUWEKEZA ktk biashara yako ili faida yake uitumie kama mtaji wa kujengea nyumba hiyo. Fahamu kiasi cha MKOPO UJENZI cha kuchukua na kurudisha kila mwezi ktk benki yako. Pia, utaweza ona GHARAMA za kujenga msingi, kuta, paa, dari, rangi, milango, madirisha... kwa nyumba zote ktk mtandao wetu, ili uweze CHAGUA, LINGANISHA, KUWEKA MIPANGO & MIKAKATI ya Jinsi ya Kuuendea Ujenzi Wako Vyema!