Description
Ramani za Nyumba Tanzania ni wataalamu wa ujenzi wa nyumba kutoka katika steji ya wazo, ushauri, usanifu, makadirio hadi kujenga nyumba, kujenga kama ilivyo sanifiwa katika mchoro. Tunajenga nyumba za kawaida na maghorofa. Labda uwe unataka nyumba za contemporary/hidden roof au za kawaida... zote tunajenga kwa ubora mzuri bila kujali ukubwa wa nyumba ilivyo. Gharama zetu ni nzuri zenye ubora wa kazi.
Skills
aluminum fixing
biodigester installation
brandering
CAD
celling
electrical installation
formworking
PVC fixing
painting
plastering
plumbing
roofing
steel fixing
tiling
building designing
cost estimation
project management
Languages
-
-
Quality of Service Motto
Tunajenga Kiuhalisia Kama Tuna Print Mchoro!
Work Outside My Town
Yes
Office Location
Kinondoni B, Dar es Salaam, Tanzania
Living Location
Kinondoni B, Dar es Salaam, Tanzania
Alfred Limo's Jobs
Sorry, there are no posted jobs yet.