Fahamu zaidi unapotaka kujenga nyumba bati zisizoonekana (Contemporary houses za Kitanzania)

CONTEMPOARY HOUSES nini? – Contemporary maana yake ni MODERN. Hivyo hizi ni nyumba za kisasa zaidi (zinazo-trend) – Zinasifa za kuwa simple, smart, minimalistic, clear. Zina sura bapa(planes), box style, nyuzi pembe nne, straightness, rangi chache zaidi nyeupe na gray, open space, less privacy as freedom, madirisha na milango mikubwa – Zinatabia ya kutumia vifaa […]

Mambo 3 ambayo fundi unapaswa kuyamudu ili kukusaidia kupata kazi kwa urahisi zaidi.

Siku zote inahitajika ujuzi na makusudi ya dhati ili uweze kupata kazi au tenda za ujenzi kwa idadi ile unayoitaka. Kazi hutafutwa kwa maamuzi na sio kutegemea zije zenyewe bila jitihada. Ili upate kazi basi unapaswa ufanye kazi fulani ili uweze kupata kazi unayoitafuta. Unaweza ukawa na ujuzi na kipaji kizuri katika fani yako uliyonayo […]

Kazi ya linta katika jengo

Linta ni moja ya kiungo katika jengo ambacho huwekwa juu ya sehemu zilizo achwa wazi katika kuta za jengo ili kubeba mzigo juu yake na kuupeleka salama mpaka katika maegemeo; ni kiungo kinachowekwa juu ya uwazi wa madirisha, milango, mageti n.k ili kuweza kubeba mzigo juu yake bila kunepa. Kiungo hiki ni muhimu kwani uwazi […]

Makazi Icon Blue

Jiunge Uanachama

Jiunge uanachama ili uweze ona ramani ya mpangilio vyumba kabla hujanunua ramani kamili; Fahamu inahitaji PESA kiasi gani KUWEKEZA ktk biashara yako ili faida yake uitumie kama mtaji wa kujengea nyumba hiyo. Fahamu kiasi cha MKOPO UJENZI cha kuchukua na kurudisha kila mwezi ktk benki yako. Pia, utaweza ona GHARAMA za kujenga msingi, kuta, paa, dari, rangi, milango, madirisha... kwa nyumba zote ktk mtandao wetu, ili uweze CHAGUA, LINGANISHA, KUWEKA MIPANGO & MIKAKATI ya Jinsi ya Kuuendea Ujenzi Wako Vyema!